T twende kazi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,520 Reaction score 461 Oct 1, 2012 #1 Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,406 Oct 1, 2012 #2 huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni....
T twende kazi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,520 Reaction score 461 Oct 1, 2012 Thread starter #3 vanmedy said: huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni.... Click to expand... jf ndo kila kitu..nimeshafanya yote hayo ila naamini hapa ni mahala sahihi zaidi.Hata babu yako bush huko anaijua jf sembuse viongozi wa makumira..
vanmedy said: huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni.... Click to expand... jf ndo kila kitu..nimeshafanya yote hayo ila naamini hapa ni mahala sahihi zaidi.Hata babu yako bush huko anaijua jf sembuse viongozi wa makumira..