Uongozi chuo cha Makumira angalieni hili..!

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Naomba mtoe kipaumbele kwa wanafuzi wa first year ktk utoaji wa hosteli za ndani hususani wale waliowahi kuanzia jana kwani wengi wao ni wageni wa mji..!
 
Makumira hakunaga shida, first year hupewaga kipaumbele. Usiwe muoga.
 
first year mpaka muda huu hawana pa kukaa na hawajui pa kwenda zaidi ya nusu ya wanafunzi
 
Kuna jimbo langu la zamani pande hizo. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…