johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Mahinya yupo vizuri sn CCM itajamba haswaUchaguzi mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu Kwa siku ya Leo
Yajayo yanafurahisha 😂
Kuna watu walilamba asaliHuu mtanange wa mtu mbili pale juu ni 🔥🔥🔥,n
Ngoja tuone maana kwenye mdahalo tuo Code za mvaa suti na mvaa gwanda ikatuonesha team nani ni nani kati yao
Hivyo ikawe heri, na mwanzo wa siasa za amsha amsha sio nchi imepoa kama haina harakati
Raia wanakwambia hii suti ya mtia nia mbona kama ya wale jamaa aliowahoji Odemba kwenye mdahalo wa timu mbiliKuna watu walilamba asali
Zinaitwa Wenje Design 😂😂Raia wanakwambia hii suti ya mtia nia mbona kama ya wale jamaa aliowahoji Odemba kwenye mdahalo wa timu mbili
ni team gani?Yule Mahinya yupo vizuri sn CCM itajamba haswa
Kila la kheriUchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Hatari sana....Yule Mahinya yupo vizuri sn CCM itajamba haswa
Kufikia 31 March 2025 kama Chadema Mtakuwa bado mko Wamoja basi Mtakuwa Chama Cha upinzani Bora kabisa Africa 😂😂Yap tupo Engine room leo tunawaletea WaTanzania MASHINE YA KAZI ....huko Lumumba mjipange hii ni Extra Lemanism!!!
Amini Chadema ni kiwanda cha kufuwa Wakombozi
Wewe ni chadema?BAVICHA ilikuwa ya Heche tu, wengine hawa ni mamluki anaingiza Mbowe toka CCM
Heri ya wale WAPATANISHI!!!Kufikia 31 March 2025 kama Chadema Mtakuwa bado mko Wamoja basi Mtakuwa Chama Cha upinzani Bora kabisa Africa 😂😂
hatari snRaia wanakwambia hii suti ya mtia nia mbona kama ya wale jamaa aliowahoji Odemba kwenye mdahalo wa timu mbili
TumuombeeHatari sana....
Lisuni team gani?