Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Bado sijaelewa management ya NMB tawi la ifakara ni wazembe au ndo bank imefulia. Uwezi kuamini ni siku ya 5 leo hawana pesa,hata kwenye ATM!. Vp jamani! Kunani? Au ndo pesa zetu zinalipa wafanyakazi, kumbuka sakata la zitto na mkulo. Zitto anadai serekali imekopa kwenye mabank kulipa wafanyakazi! Inawezekanaje m2 atake kudraw 5000000/=apewe 1000000/=NMB Kwa kweli mmfulia.