Uongozi uliopo waboreshe Bandari ya Dar maana wafanyabiashara wameanza kutumia bandari zingine

Kingdom Finder

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
1,119
Reaction score
1,391
Wafanya bihasharawengi wa nchi za Congo, Zambia na Malawi wameona afadhali watumie bandari yaDurban South Africa au Walvis Bay ya Namibia kwa ajili ya usumbufu wanaopatakwenye bandari ya Dar na huko barabarani pamoja na rushwa wakati wa kusafirisha mizigo yao. Niko nchiniBotswana na magari ya mizigoyanayotoka Congo na Zambia yanayo pitia hukukwenda Durban na Walvis bay yameongezeka sana kwa siku za karibuni. Ukiwauliza wanasema bandari ya Dar ni wasumbufu. Ninaomba uongozi uliopo uangalie jinsi yakuboresha Bandari ya Dar angalau wafanya bihashara waweze kuiamini tena kwasababu kwa ajili ya uzembe na rushwa pamoja na wizi tunapoteza mapato mengi sana ambayoyangesaidia nchi yetu kwenda mbele.

 
Mi nafikiri bandari iendeshwe na JWTZ tu. Raia wameshindwa kazi.
 
Pataturia tu.
Tunasafisha uvundo wa miaka dahari.
Watarudi wenyewe bila kupenda.
JPM go! go! go!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…