Uongozi unaiponza Simba!

Uongozi unaiponza Simba!

Sinoni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
6,581
Reaction score
11,572
Simba SC inazidi kupotea midomoni mwa washabiki na wadau wa soka hapa nchini, Umefika wakati wa Aveva na benchi lake wajitafakari na kuchukua hatua stahiki!

=================
Simba, Nguvu Moja!
 
Na badoooooo....!ismail aliwaambia mkamuona muongo
 
Ni mawimbi tu mkuu,tutavuka salama..
Aveva yampasa kujitathimini...tumechoka maisha haya..
 
Aveva na benchi la ufundi nani ang'atuke??

Bila kuzimaliza tofauti zilizopo kati ya Simba uongozi ya Aveva na Simba Ukawa ya Wambura hakuna kitakachoendelea.

Makundi ndio sababu kubwa ya kuanza nayo kama kweli tuna nia thabiti na kuisaidia Simba.
 
utashangaa na ubovu wote huo YANGA wanahangaika kurudisha 5-0 mpaka leo.. Manji pamoja na kumwaga pesa zote lakini anapokutana na mnyama lazima akae!!!

Nimeamin kila mtu na kibonde wake!!...

 
MFUKUZI;

mara ya mwisho mikia fc kumfunga YANGA kwenye ligi ilikuwa mwaka gani vile???
 
Last edited by a moderator:
mara ya mwisho mikia fc kumfunga YANGA kwenye ligi ilikuwa mwaka gani vile???

Kanjibai anaikumbuka ameifanya kama special day au memorial day kila anapokutana na Simba lazima aikumbuke hiyo siku..
 
mara ya mwisho mikia fc kumfunga YANGA kwenye ligi ilikuwa mwaka gani vile???

mwaka ule kabla ya kua na papa Francis, papa Benedict
nakumbuka alikua papa john wa 2.

enzi hizo ulaya tulikua tunamjua de lima, yaani kabla ya Cristiano
 
Tuachage siasa kwenye mpira jamani,uongozi unausika vipi kwenye matokeo ya uwanjani
 
Chuma hujila zenyewe. Huenda hiki ndicho kiikumbacho simba. Daaaah inaboaa sema upenzii tuu ndo wanifunga
 
Back
Top Bottom