Uongozi wa Alikiba wajibu kilichotokea Mombasa

Uongozi wa Alikiba wajibu kilichotokea Mombasa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Aidan Charlie ambaye ni meneja msaidizi kutoka
kwenye Menejimenti ya mwimbaji staa wa
bongofleva Alikiba ameongea kuhusu tuhuma
mbalimbali zilizotolewa dhidi ya Alikiba
kutokana na show ya Mombasa iliyofanyika
weekend iliyopita na zifuatazo ni kauli zake.

1. Sio kweli kwamba Alikiba alisema yeye
ni msanii mkubwa Afrika Mashariki
hivyo Wizkid ndio alitakiwa kupanda
stejini kabla yake, alietoa hizo habari
kadanganya.

2. Kilichotokea ni kwamba kiujumla
Waandaaji hawakuwa wamejipanga
vyema, show ilitakiwa kuanza saa nane
mchana lakini wakaipeleka mbele
mpaka saa tatu usiku .

3. Ishu ilikua wakati Chris Brown alipofika
kuliangalia jukwaa na kuzoea mazingira
ilibidi seti yote ya Alikiba iliyopangwa
jukwaani iondolewe pamoja na watu wa
Ali, hiyo ikafanya Alikiba achelewe
kufanya rehearsal ambapo alimaliza saa
mbili usiku na kurudi hotelini kwenda
kujiandaa na show.

4. Tumerudi tu hotelini tunapigiwa simu
kuambiwa mnatakiwa kupanda kwenye
stage ikabidi Alikiba arudi uwanjani
lakini muda ulikua umeyoyoma na
Chris Brown alitakiwa kutumbuiza
mapema ili awahi Airport.

5. Hakuna kutunishiana misuli kokote kati
ya Wizkid na Alikiba, wawili hawa wako
vizuri na walikua wanaongea backstage
na Wizkid alimwambia Ali haondoki
uwanjani mpaka aone show yake….

Source: millard ayo
 
Kondom sallama na dimond ni wahuni eti wanavyosema alilumbana na wizkid kama sio uchawi huo ni nini?
 
Kondom sallama na dimond ni wahuni eti wanavyosema alilumbana na wizkid kama sio uchawi huo ni nini?
Sasa hipi ndio kauli rasmi?, ya Ally Kiba kumshtumu Sallam au hii ya Manager Msaidizi?
 
Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
 
Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
Sallam kasema ameskia hivyo hiyo minong'ono kasikilize tena
Mitandao ya kenya ndo imereport hivo na ata blogs za nigria na kituo cha soundcity kimereport hivyo
 
Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
Sio kweli mitandao kibao ndo imereport hivyo
1476356632958.png
 
Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
We kweli Mzaramo, hebu nenda kajifunze kuongea point sio kama hivi.
 
Hivi kirefu cha wcb Ni nini hasa Hilo herufi la b Ni nini? Msaada
 
Back
Top Bottom