Aibu...aibu...aibuuu!!!meneja anasema kingine,msanii anasema kingine!!!Alikiba kubali tu kwamba unaroho mbaya basiii..na ndio maana huendelei kwa chuki zako
Media zooote za Kenya zimeripoti kuhusu Uongo wa Kiba mpaka hurumaa...yaani wakenya kweli hawapendi ujinga,wanamchamba Alikiba kwenye Vituo vya Radio mpaka nimejikuta naingiwa na huruma!!