Uchaguzi 2020 Uongozi wa CHADEMA ulikuwa sahihi "kuwatimua" TBC katika uzinduzi wa kampeni zake

Tuone kama leo wata kataka matangazo ya CCM kama viongozi wa CCM watasema vibaya wapinzani. Kwa kweli kitendo cha TBC jana kukatakata hotuba za viongozi wa CDM kilikuwa kinawaudhi sana wasikilizaji. Nilishukuru sana kutimuliwa.
 
Tangu lini habari za CDM zina maana TBC? Wakatangaze zingine.
 

CHADEMA walikuwa 100% sahihi kuwafukuza hao tbccm. Kwanza tbccm washukuru kutimuliwa mapema maana kila dakika iliyokuwa ikienda hasira za wananchi dhidi yao ilikuwa inapanda kwa kasi baada ya kuona ushenzi wao wa kukatakukata matangazo kipuuzi. Wangechelewa kidogo tu kupewa amri ya kufunga virago, wangestukia wengi wao sasa hivi wamelazwa MOI. Huwezi kutumia Kodi ya wananchi halafu unawaletea nyodo wananchi haohao. Mbona leo Dodoma tbccm haikatiki? Pumbavu.
 
TBC ni hovyo kabisa na inaudhi!
Exactly

Hiko chombo hakistahili kabisa kuitwa ni chombo cha habari cha Taifa, badala yake kinapaswa kuitwa TB - CCM
 
CDM wako sahihi kabsa acha kile kituo kisalie kua cha Maombi ya Nambari Uno.
 
itoshe tu kusema kwamba kilichotokea jana ni moja ya Dalili za wazi kati ya dalili nyingi kuwa nchi nzima inaendeshwa na mtu mmoja tu...cha kushangaza zaidi watu wa kusifu na kuabudu bado wanaona lile swala ni SAWA TU as long as halijagusa MASLAHI YAO..!!
 
Siasa ni mchezo mchafu, CCM ni baba lao kwenye hii michezo.
TBC inafanya kazi kwa kuisaidia CCM ishinde.
Kwa kuwa pia hii tume sio huru hivyo wapinzani nao wawe tayari kwa kila rafu itakayowakuta.
Mnachotakiwa kukijua ni kwamba aliyepo madarakani hayupo tayari kuachia ngazi.
Ukiona kuna chama cha upinzani hakina mgombea mmoja aliyeenguliwa ujue hicho kinaubia na chama tawala.
 
Ni ujuha uliopitiliza kufanya upumbavu ule kwenye mob kama ile. Wana bahati hawakuchapwa makofi.
 
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nafuatilia kupitia ile ledio ya taifa gafla mara wakaweka mziki mara waongee wao nahiyo ntimanyongo ilianza tu mara baada ya lema kupanda hapo ndipo mauza uza yalipo anza mh mbowe kapanda tayari walishaanza figisu zao tangu lema akiongea
 
Nilidhani mkurugenzi wa tbc TBC ndugu Ayubu Ryoba ni miongoni wa watu wastaarabu, kumbe naye ni bogus kabisa, malalamiko ya TBC ni ya unafiki ulio pitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…