Elections 2010 Uongozi wa Chadema waanzishe Electronic Database ya Wanachama

Safi sana nimesoma na kuelewa vema wazo la mdau hapo juu, mimi nikiwa kama mwanachama hai na mtiifu mpaka kufa wa CHADEMA napenda kuunga mkono wazo hilo. Pia tunaweza kuwasiliana kwa yeyote ambaye hajui ni jinsi gani atajiunga CHADEMA na kutoa mchango wako kwa chama chetu tafadhali nipigie kwa namba yangu hii na nitakupa maelekezo yakinifu 0718 865251.Ni wazi kwamba hivi sasa maendeleo katika tasnia yoyote hayawezi kukamilika bila teknohama.
Naunga mkono hoja
 
i definitely support this idea. will give fully support if needed.
 
Mimi Pia naunga mkono kwa kwa 100%.
Mie Pia ni Computer Engineer, najitolea kushirikiana na wezangu waliojitolea kutengeneza hii database. Tunasubiri maelekezo ya uongozi.

Je,viongozi waandamizi wa Chama chetu CHADEMA wameshajulishwa kuhusu huu mpango?
Tupeana taarifa pse.
 
Ni wazo zuri sana na naunga mkono kwa 100% na pia napenda kuwakumbusha chadema kuwa, Makamba aliwahi kusema, mtaji pekee ccm iliyobaki nao ni kikwete, kwa hiyo baada ya hii miaka mitano yake kwisha ccm haitakuwa tena na mtu wa kumchomeka ktk nafasi ya urais, kwa hiyo nina imani kama chadema watajipanga kuanzia sasa, basi uchaguzi ujao wana uwezo wa kushinda kwa asilimia 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…