Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Utoto upi? Umeona kazi kusema pongezi kwa Ali Kiba..wivu utakuua weweWacha utoto
Ndio maana nika sema wacha utotoUtoto upi? Umeona kazi kusema pongezi kwa Ali Kiba..wivu utakuua wewe
Wacha-acha we bado hujapona vizuri inabidi uwe unatembea na doziNdio maana nika sema wacha utoto
ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG.
.
people kill humans just for ivory...[alisahau tembo anaitwaje kwa kidhungu]una uhakika?
Duu ndugu umewaweza kweli na wameamini japo wameshindwa kugundua apo kwenye SAMSUNG uliwatega.Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG.
Kwa taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats nchini marekani zinaeleza kua tarehe 24 mwezi wa 11 mwaka 2014 uongozi wa msanii Chris Brown ulipokea maombi ya muungano wa wasanii wawili kufanya wimbo wa pamoja kati ya msanii Ali kiba na Chris Brown maombi hayo yaliambatanishwa na Softcopy zilizobeba nyimbo tatu za msanii Ali kiba ikiwemo SINGLE BOY, MWANA pamoja na wimbo aliofanya katika project ya ONE 8.
Uongozi wa Chris Brown umethibitisha kupokea taarifa za maombi hayo na umeonesha kupenda sauti ya msanii Ali kiba na kutoa tamko kua wapo tayari kusimamia kazi ya pamoja itakayofanywa na wasanii hawa.
Upande wa msanii Chris Brown amesema hana tatizo yupo tayari kushirikiana na msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya kutazama project ya One 8 na ameona kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha japokua anahitaji marekebisho madogo sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kawazoa wengi kweliteh umewaleta wamejaaa na wameamini
GoodUongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG.