Uongozi wa klabu ya Simba SC jitahadhalini, Ajibu wa Yanga anawarubuni wachezaji wa Simba

Wewe uko Ulaya tayari?
 
Wewe uko Ulaya tayari?
 
Pole yako kwa kudhani tunaposema mchezaji ana maisha mazuri basi tunazungumzia pesa pekee. Ukisikia kuwa Yaya alikuwa na maisha magum Barcelona unaelewa nini?
 
Bongo ni bongo tu..walikuepo mafundi zaidi ya hawa akina ajib na kichuya! Tatizo wachezaji wetu wanaridhika na malupulupu,halafu kwa ushabiki wa magazeti wanaona ndo wametoka "et maisha ndo haya"..kiwango kitaishia simba na yanga,sio kwamba nawabeza ila wanatakiwa watoke nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Kusema Ajib anawarubuni wachezaji wa simba kwenda yanga huo ni ushabiki maandazi. Waacheni wachezaji wawe huru kwenda wanapotaka bila kuwawekea vikwazo. Ifike mahali sisi mashabiki wa simba na yanga tukubali mchezaji anapotoka timu mojawapo na kujiunga na nyingine. Hii itakuza soka letu na kuleta ushindani. Tumwache Ajib acheze mpira tusimuhusishe na mambo ya kufikirikaKama mchezaji hapti namba simba aende yanga na ambaye hapati namba yanga aende simba full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…