Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kwahiyo we unakubali maendeleo ya Kenya ni sawa uchukue maendeleo ya TANZANIA+DRC kongo? Ndo ujue kama GDP yenu haina uhalisiaSi lazima ukubaliane na mimi. Huo ndio uhalisia. Hio ni sayansi.
GDP = C + G + I + NX
GDP = Consumption ya wananchi + Gov expenditure + sum of a country’s investments
Si lazima ukubaliane na mimi. Huo ndio uhalisia. Hio ni sayansi.
GDP = C + G + I + NX
GDP = Consumption ya wananchi + Gov expenditure + sum of a country’s investments
Cha kushangaza ni maelfu ya omba omba kutoka Tz.Pesa anayopata mtanzania Kwa mwezi hata ukichenji Kwa pesa ya huko kwenu bado wewe utabaki na hali ngumu tu huwez kumzid MTZ Kwa pesa ,hapo bado kwenye matumizi TZ maisha nafuu tofauti na huko kuzimu kuna mfumuko wa bei kila kitu bei
Afadhali kula mawe kuliko kumla albinoKama wanaopika binadamu live hapo kwenu, kuna mwanamke kamkatakata mwanae kamfanya kitoweo, ushetani wa tanganyika uliotukuka.
Ama ule wa viungo vya albino?, kula nyama ya binadamu?
Ama njaa kali iliyo mikoani Tanganyika?
Unaingiza sh ngapi Kwa mwez maana Kwa dollars milioni hamtuwez twende sasa kwenye hizo pesa za madafuCha kushangaza ni maelfu ya omba omba kutoka Tz.
Utuletee na sababu kabisa kwnn kapika mawe na sisi tukuletee kwnn tz kuna watoto walikula mafi ya mbuziPropaganda zipi nikuletee wakenya hapa wanaopika mawe,kisa msosi hamna??
Nikuonyeshe detail mkipokea chakula kutokea uarabuni??
Nikuletee taarifa jinsi binadam wanakufa njaa turkana huko??
Watoto kula mavi ya mbuzi ni sawa na mama wa middle income kuchemsha mawe[emoji28][emoji28][emoji28].Utuletee na sababu kabisa kwnn kapika mawe na sisi tukuletee kwnn tz kuna watoto walikula mafi ya mbuzi
Wewe ni Dollar millionaire?Unaingiza sh ngapi Kwa mwez maana Kwa dollars milioni hamtuwez twende sasa kwenye hizo pesa za madafu
Kumbe watoto sasa mtoto c hata mavi yake anakulaUtuletee na sababu kabisa kwnn kapika mawe na sisi tukuletee kwnn tz kuna watoto walikula mafi ya mbuzi
Mimi sio doller millionaire ila Kwa hizohizo pesa za madafu bado haunifikii hata kama tutazi henji ziwe Kwa pesa zenu au ukitaka Kwa df doller bado utakua na hali ngumu tu sasa cjui hapo kuwa napesa yenye thaman lakin maisha yako magumu cjui kunakusaidia niniWewe ni Dollar millionaire?
Next time usiongee na kusifia Dollar millionaires Kama wewe sio moja wait.Mimi sio doller millionaire ila Kwa hizohizo pesa za madafu bado haunifikii hata kama tutazi henji ziwe Kwa pesa zenu au ukitaka Kwa df doller bado utakua na hali ngumu tu sasa cjui hapo kuwa napesa yenye thaman lakin maisha yako magumu cjui kunakusaidia nini
Alaaa!!unaijua sababu, yani vile media zenu hawana uhuru huo wala ujasiri wa ku broadcast vitu km hvo basi mnajipiga kifua km bongo watu hawalali njaa..Kumbe watoto sasa mtoto c hata mavi yake anakula
Wenye hela watele, siku wakiamua kutinga jf alafu waone huo upupu ulioupost watakuchekelea sana..Mimi sio doller millionaire ila Kwa hizohizo pesa za madafu bado haunifikii hata kama tutazi henji ziwe Kwa pesa zenu au ukitaka Kwa df doller bado utakua na hali ngumu tu sasa cjui hapo kuwa napesa yenye thaman lakin maisha yako magumu cjui kunakusaidia nini
Hohohoooo!!kumbe hata kutunza watoto hamjui, yani angalau uwadanganye kw kuchemsha chungu jikoni...Watoto kula mavi ya mbuzi ni sawa na mama wa middle income kuchemsha mawe[emoji28][emoji28][emoji28].
Mtoto ni binaadam anayehitaji kutunzwa na kuongozwa.
Watanzania wanakufa na njaaMiaka minne tu tutaipiku Morocco.
Kwa elimu ya Tanzania hivi ulifunzwa mkopo pia unakua gross output of a country when it comes to GDP calculation?Usijisifu kuipita moroko Kwa kukopa ili uongezee gdp hata wao wakikopa watawapita ila hawataki
Wewe demu una matatizo,leta hapa ile habari nikufunze kitu kwa vitendo.Hohohoooo!!kumbe hata kutunza watoto hamjui, yani angalau uwadanganye kw kuchemsha chungu jikoni...
Tena kwanza yule mama kafuata mila za kidesturi za afrika kabisa...
Acha hao wenu kaona hali ngumu kaamua kuwatelekeza watoto
Wewe mjinga hujui kama mkopo ni deni linalotakiwa kulipwa kila baada ya kukusanya pato la nchi husika!!!!Kwa elimu ya Tanzania hivi ulifunzwa mkopo pia unakua gross output of a country when it comes to GDP calculation?
Ati what ?Wewe mjinga hujui kama mkopo ni deni linalotakiwa kulipwa kila baada ya kukusanya pato la nchi husika!!!!
Fikiria kwanza bila mikopo mliyo nayo GDP yenu ingewafaa kiasi gani,ndipo umwelewe huyo anachokwambia.
Kalia upuuzi,hiyo kenya wanajia uhuru na ruto peke yake,wengine endeeni na kuhaso.Ati what ?
Hii ndio economics inayofunzwa Ujamaa land!!!
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app