guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Hizi takwimu mkuu unazitoa wap !!?.au n mihemuko yakoNdiyo si tunaona nchi ina njaa kila kona mpaka watu wanapika mawe,mpaka misaada ya chakula inaletwa,ameshindwa kucontrol korona,madeni yamekuwa mengi,nchi haiwezi kujijengea miundombinu yake mpaka ikope na SGR imeishia porini.na pia ardhi kubwa ameimilikisha kwa watu wachache na nchi imejaa rushwa.
Naamini kwa hii miradi ikikamilika bas itakuaMagufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...
Here's a breakdown of the comparative GDP figures
2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)
2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)
2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)
2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)
2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)
2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)
Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.
But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.
2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)
2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)
2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)
2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)
2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa ndo kuna unatofauti kati ya hela ya mkopo na hela isiyo ya mkopoMagufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...
Here's a breakdown of the comparative GDP figures
2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)
2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)
2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)
2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)
2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)
2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)
Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.
But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.
2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)
2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)
2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)
2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)
2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)
Nyie mmekazania majengo cc tunajenga vichocheo vya kiuchumi vyenye kuleta impact kwa muda mfupi that's a difference.kwani Kenya hakuna miradi inayoendelea kwa sasa ???
Sasa mbona Ddp ya kenya haiendani na uhalisia?