NASHANGAA HATA MIMI NIMEPITA MBEZI NIMEKUTA WAMACHINGA WANAREJESHA MABANDA ,,,nawapa pingezi viongozi wa Kibo,Baruti,K
Ana roho mbaya kama muuza sumuUnapata faida gani binadamu wenzako kulala njaa?
Una roho mbaya sana wewe timu gaidi
NASHANGAA HATA MIMI NIMEPITA MBEZI NIMEKUTA WAMACHINGA WANAREJESHA MABANDA ,,,nawapa pingezi viongozi wa Kibo,Baruti,Kona
Nasikia ni maelekezo ya mkuu wa wilaya Henry James, nimeshangaa sana hata mimi. Huku ni kukosa ujasiri kabisa wa kisiasa. Hakuna kauli thabiti katika hili, kila mtu anataka aonekane sio yeye anayetaka watu wafuate taratibu... WANASIASA NI WANAFIKI
Unapata faida gani binadamu wenzako kulala njaa? Una roho mbaya sana wewe timu gaidi
Dawa ya wamachinga ni kuwatambua kwanza kisha kuwarasimisha kwa kutoa leseni ya biashara ambayo kwayo inaonyesha aina ya biashara, sehemu ilipo biashara, jengo la biashara liwe la kupanga au binafsi....
Hii habari ya kuwadogosha wamachinga eti mitaji yao ni midogo ndio chanzo cha biashara holera.... Biashara haina udogo, ukiamua kufanya biashara, fuata kanuni zake na mambo yataenda tu.
Nilikuwa hapo juzi nikawa napiga story na mfanyabiashara mmoja mwenye frem , akawa anakiri kuondolewa hao jamaa at least nao wameanza kupata kidogo maana wengine walijenga mbanda mbele ya frem za watuNaandika haya wakati vijana wamachinga wakianza kujenga mabanda yao upya pembezoni mwa barabara.
Ni ukaidi kwa maelekezo ya Rais. Ni uvunjaji sheria uliopitiliza kwa watu kuonywa na kutolewa eneo husika kwa sababu husika na kukaidi.
Je, wamachinga wa maeneo mengine waliotolewa sio wa muhimu kama wa Mbezi Luis?
Kulikuwa na sababu gani ya kuvunja vibanda vya awali?
Tusipofanya maamuzi thabiti na kuchukulia hatua wazembe hatutapiga hatua hata moja mbele.
DC wa ubungo aliwaruhusu warudi baada ya wamachinga kufunga barabara na kulala kwenye barabara kuu ya morogoro road
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app