Ha haaa! Itakuwa serikali ya nyasi. Lakini kuna usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi Mpe Mtoto Alee". Huenda hao jamaa wakipewa kuendesha nchi wakabadilika kabisa na wakaendesha vizuri mpaka mkashangaa.
Ha haaa! Itakuwa serikali ya nyasi. Lakini kuna usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi Mpe Mtoto Alee". Huenda hao jamaa wakipewa kuendesha nchi wakabadilika kabisa na wakaendesha vizuri mpaka mkashangaa.
Siyo upupu mkuu. Ukweli ni kwamba mafisadi wametu tawala na tusipo angalia hawa watu tunaosema kila siku ndiyo wana maliza nchi yetu ndiyo hao hao watakao kuja kuongoza nchi yetu kwenye nafasi za juu zaidi. Wewe fikiria mtu kama Lowassa na mambo yake yote lakini leo hii bado anaongelewa katika uraisi.