Uongozi wa Rais Magufuli ungekua Movie ungeipa jina gani?

Huu uzi bana, umenifanya nicheke sana especially kwa bahati nzuri movies nyingi zilizotajwa nimeziangalia emb ngoja nisubscribe niwe nacheka with ecery update made. [emoji23]
Ecery,(every)?????????
 
Uzi kama huu unafaa kuanzishwa jumatatu watu tumetoka kwenye stress za weekend. Anyway umetufaa sana kwa mwezi January.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti frank gallagher uyu mzee na wanae wote hamnazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu wao masanga makasi Tu na hv mkulu ana uPOMBE kwenYe majina Yake basi bien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…