Uongozi wa Rais Magufuli ungekua Movie ungeipa jina gani?

Dah JF mnanipa raha.
Uyo wa Mr Bean na Wrong turn mmenivunja mbavu.

Alafu mtoa mada umefikiri nini mpaka ukauliza swali hili. Mbna awamu za nyuma hukuuliza?

Ila mimi ningeiita " Msinidrive drive"
 
Dah JF mnanipa raha.
Uyo wa Mr Bean na Wrong turn mmenivunja mbavu.

Alafu mtoa mada umefikiri nini mpaka ukauliza swali hili. Mbna awamu za nyuma hukuuliza?

Ila mimi ningeiita " Msinidrive drive"
Hii awamu rais anaishi kwenye dunia yake tofauti na wananchi wake
 
Thread kama hizi ndio tatizo Jf mod hivi vitu vvinatakiwa uvipe uhai siku mbili tu watu washatoa stress zao tosha
 
Tunalinganisha na majina ya Movie wewe ungempa jina gani.

"THE WRONG TURN"

The mega mistake

Kanamachi 2013

Ngoja niingie library

The weighed and found....
UPHARSIN

SHUMILETA


Dictator Uchwara.ila Starling atafia kwenye maua
 
Kuna lile lipicha la nchi ya wadiya na yule artist wao anaitwa aladin sijui inaitwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…