Wakishua123 Member Joined Aug 10, 2021 Posts 19 Reaction score 118 Feb 14, 2024 #1 Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi. Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi gani na kwa muda gani mtawafukuzisha wateja wanaokuja kutumia hela hapo.
Taarifa iwafikie uongozi wa Rockcity Mall acheni wizi kwenye Mashine zenu za parking haiwezekani msiweke bei ya parking wazi. Hata kwa kuzibandika kwenye bango ili wateja tujue tunachajiwa kiasi gani na kwa muda gani mtawafukuzisha wateja wanaokuja kutumia hela hapo.