Uongozi wa simba kama mpo humu itoleeni ufafanuzi swala la jezi

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Kwanza nikiri tu mimi shabiki wa simba, jana nimeweka bandiko sijapata jibu lolote nimeambulia matusi ambapo nimeona sio ustaarabu kabsa, jf ipo kwaajili ya msaada sio kukejeliana,

pointi yangu
kwenye jezi ya SIMBA CS kuna maandishi nataka ufafanuzi wake, hili jina la Yanga jersey 2021-2022 GSM 2021-2022 linachanganyika vpi kwenye kilabu yetu ya SIMBA CS?

Nmejiuliza maswali mengi sana kwamaana Yanga wao hawataki kutumia hata rangi tu nyekundu vodacom, inakueje jezi ya SIMBA SC iwe na maadishi ya Yanga?

Kama ni hivi hakukua na haja ya kulalamika kile kipindi jezi zilivuja,

nawasilisha
Naombeni ufafanuzi kwa hili.






Yuda Exalioth
natumia Jamiiforums
Karibuni Geita.





 
Sijajua una ufaham kiasi gani, ila kwamba uongozi uje utolee ufafanuzi wa sticker ya mauzo ni akili za kitoto sana. ile ni sticker tuu ya kutambua jezi dukani. sticker ya jinsi inaweza kubandikwa kwenye blauzi au chupi au kwenye shati ni makosa ya kawaida sana dukani.
 
Yanga ni ya watanzania wote ndugu.
 
Umejibu ili mradi uonekane umejibu lakini haukutoa ufafanuzi. Kwanini lebo ya jezi ya Simba iwe na maneno yanayosomeka Yanga na pia kuna GSM? nadhani hiyo hoja ya msingi ya mleta uzi.

Lakini Mimi ningependa kujua kwa walionunua jezi za Simba je ni kweli lebo ina maandishi hayo? Maana waandishi wa habari wanaongoza kwa kuleta uzushi na uongo ili kutengeneza taharuki
 
Kwa akili yako unaona ile ni lebo
 
Kwa akili yako unaona ile ni lebo
Sijui kwasababu sijaiona jezi za Simba zilivyo. Na ndio maana nikasema kwa walionunua jezi waseme kama ni kweli kuna kitu kinachosomeka hivyo kwenye jezi ya simba au ni propaganda za kuchafuana unaofanywa mitandaoni.
 
Sijui kwasababu sijaiona jezi za Simba zilivyo. Na ndio maana nikasema kwa walionunua jezi waseme kama ni kweli kuna kitu kinachosomeka hivyo kwenye jezi ya simba au ni propaganda za kuchafuana unaofanywa mitandaoni.
ile ni sticker ya dukani mkuu, ni kosa la wabandika sticker badala ya kubandika kwenye jezi za Yanga wakabandika kwenye jezi za Simba. simple mistake.
 
Kwa ufupi tenda ya jezi mmempa GSM, Fredy katangulizwa tu.
 
kwahiyo usifikilie kwamba wewe unajua kila kitu, ila asante kwa ufafanuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…