Uongozi wa simba kama mpo humu itoleeni ufafanuzi swala la jezi

hata mimi nilitamani nitembelee maduka ila nikaona hakuna haja, maana hata hili bandiko litaonwa na watu walionazo jezi za simba
 
Unasema miaka 5 bilabila mnatengeneza kitu kujifariji
Jiwe na bashite waliihujumu yanga. Mwaka 2016 kurudi nyumamlikua hamfurukuti mbele ya chama kubwa Yanga. Ngoja tuone kama mtasimama mbele ya Yanga.
 
Namkumbuka Lowasa na vipaumbele vyake...Elimu ,Elimu ,Elimu ...kuna watu ni misukule aisee..inshu haihitaji hata akili nyingi kujua kama imebandikwa tu hapo nayo ni kitu cha kujadili?
 
Kusema kwamba sticker ya Bakhresa inaweza ikatumiwa na kampun ya mo? Unajua ndan ya sticker kuna code kabisa? Na zinalipiwa.
 
Namkumbuka Lowasa na vipaumbele vyake...Elimu ,Elimu ,Elimu ...kuna watu ni misukule aisee..inshu haihitaji hata akili nyingi kujua kama imebandikwa tu hapo nayo ni kitu cha kujadili?
Fafanua kwa upana kwa faida ya wengi sasa kaelimu kako si ukatumie sasa hapa sasa unapojitamba umesoma unaelim bila kuona faida ya hio elimu yako ni sawa na bure

yaani bora usingechangia kabisa badala ujikite kutoa elimu sababu wewe unaelewa unakuja kudharau wenzio[emoji24] mambo ya kitoto kabsa hebu jaribu kuelewa hii ni Jamiiforums
 
Hapo mtu kachukua stika anapojua yeye kaibandika kwenye jezi ya Simba halafu akapiga picha akaposti...kwa huu upuuzi ndo mana nilishajitoaga insta na fesibuku Kuna ujinga ujinga mwingi sana
Asante mkuu
 
Kuna vitu ilikuwa havina haja ya kujibu kabisa maana ni ujinga uliopitiliza.sasa hapo kwa nyie mlionunua jezi ya simba mnaona hilo neno la yanga jerse...??? Kuna watu hawana habari za kuandika wanajiandikia tu na wengine bila kujua wanatumika kutia watu presha na wao wanaposti bila kujijua.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…