Uongozi wa simba kama mpo humu itoleeni ufafanuzi swala la jezi

Fred vunjabei amezungumza leo tayari kuna watu wapo mikononi mwa polisi wengi ni UTOPOLO, Yule zeruzeru lao limewaponza alafu likaondoka kwenda Morocco Kwa basha wake kufokolewa
 
Fred vunjabei amezungumza leo tayari kuna watu wapo mikononi mwa polisi wengi ni UTOPOLO, Yule zeruzeru lao limewaponza alafu likaondoka kwenda Morocco Kwa basha wake kufokolewa
Hata mimi nilimsikia akitoa maelezo kuwa hata yeye haelewi hizo jersey kuwa na sticker zenye maneno Yanga na GSM na akasema wanafanya uchunguzi ili kujua tatizo liko wapi. Ingawa to my opinion Bongo yote yanawezekana usikute Tenda ya kutengeneza hizo Jersey Vunjabei alim subcontract mtu mwingine ndio yakatokea yakutokea.
 
Sikia wewe! Timu ya simba inamashabiki wengi uelewa ulionao wewe usifikiri nawengne wanao, ukikuta kuna uzi chagia kwa faida ya wasio na uelewa kama mimi, sio kudharau, unashusha hadhi ya jf
 
Simba hakuna watu wapumbavu kama wewe na utopolo wako mna mind vitu vidogo vidogo kama rangi, n.k
 
Bongo haishiwi vituko yan jinga limetoa sticker huko linakojua likaja kuweka kwenye jersey ya simba likapiga picha likapost ili tu liwe femas na lipate followers ujinga mtupu
 
Mtu mwenye akili na fikra hawezi kuuliza swali la kipumbavu kiasi hicho ile ni sticker imebanduliwa kwenye jezi ya yanga ikabandikwa kwenye jezi ya simba kisha ikapigwa picha kwa lengo maalum.
 
Ukiona Mtu yoyote anaanza na maneno "Mimi Simba Damu" au "Mimi Yanga Damu" jua mtu huyo ni Mpumbavu anayetaka kuwaaminisha Watu kinachoaminiwa na Upumbavu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…