Uongozi wa SIMBA SC mnazingua.

Sina Kaz ila siwez kwenda kutizama. Mpira TV yenywe siangalia ovyo ovyo ilimradi tu .tv nawasha saa moja jioni had saa tano na nusu Kisha itazimwa had kesho jioni Tena

Sas wew mwezangu una funga safari kutoka bunju had taifa kweli

Mm Happ Niko karibu kabsa na uwanja wa Mpira Ni dkika tano hapa niloko kufika hapo taifa ila uwez niona huko kbsa Kam Ni Mpira nitatizama kwa tv tu Basi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na starehe yake ndugu, huenda na wewe uko vizuri sana kwenye wamama na pombe ila hakuna anayejali.
 
Hatuwezi kufanana ..wengine bar ipo hapo jirani na hawaendi
 
Mchezo ndiyo unaanza sasa..

Mda huu ni tukio la Dk 1 ya maombelezo
Mkuu usisahau kutupa update..kwenye LiveScore wamesema imeahirishwa.
 
Nimeanza kuelewa falsafa ya simba sasa.
Kuna team flani ivi inatafutwa ya maana sana.
Hili nalizungumza baada ya kuona vijana wadogo waliyoanza 1st eleven ya leo.
Tuwekee kikosi cha leo basi
 
Nilashawaambia tabu za simba zinaletwa na yule hawara wa Mo Dewji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…