uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Nov 14, 2023 #21 Mgunda hajanyimwa team ni amekataa huwezi chukua team isiyoeleweka lengo lake Wala mikakati Kisha aharibu cv yake ila viongozi hawasemi huu ukweli ila ukweli ni kuwa mgunda amekataa
Mgunda hajanyimwa team ni amekataa huwezi chukua team isiyoeleweka lengo lake Wala mikakati Kisha aharibu cv yake ila viongozi hawasemi huu ukweli ila ukweli ni kuwa mgunda amekataa
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Nov 14, 2023 #22 Jipangeni upya yanga walidondosha point tatu
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,184 Reaction score 9,407 Nov 14, 2023 #23 pwilo said: Kocha mpya akikubali kufanya kazi na matola tu ameisha ataliwa kichwa mapema kuliko robertinyo. Click to expand... Matola mtu muhimu kwenye mambo ya nje ya uwanja
pwilo said: Kocha mpya akikubali kufanya kazi na matola tu ameisha ataliwa kichwa mapema kuliko robertinyo. Click to expand... Matola mtu muhimu kwenye mambo ya nje ya uwanja
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Nov 14, 2023 #24 kilwakivinje said: Matola mtu muhimu kwenye mambo ya nje ya uwanja Click to expand... Anachomesha makocha wenzake na kwenye derby yule hafai kuwa kocha msaidizi.
kilwakivinje said: Matola mtu muhimu kwenye mambo ya nje ya uwanja Click to expand... Anachomesha makocha wenzake na kwenye derby yule hafai kuwa kocha msaidizi.