mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Wakuu kwema?
Uongozi wa timu ya Simba S.C kupitia mtendaji mkuu ndugu Barbara ulisema utamchukulia hatua kali Dejan mzungu kwa kuvunja mkataba na klabu.
Imepita miezi mingi sasa tunaona kimya na paka ndugu Barbara anataka kuachia ngazi, Je hamuoni ni wakati sahihi uongozi wa Simba ukatupa majibu ya ni hatua gani walichukua kwa Mzungu ili iwe fundisho kwa wachezaji wengine?
Au tuendelee kuamini kuwa pale Simba viongozi wenye weledi hakuna na wamejaa wapiga dili tu?