Uongozi wa Simba utuambie ni hatua zipi za kinidhamu ulimchukulia Dejan baada ya kuvunja mkataba?

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Wakuu kwema?
Uongozi wa timu ya Simba S.C kupitia mtendaji mkuu ndugu Barbara ulisema utamchukulia hatua kali Dejan mzungu kwa kuvunja mkataba na klabu.
Imepita miezi mingi sasa tunaona kimya na paka ndugu Barbara anataka kuachia ngazi, Je hamuoni ni wakati sahihi uongozi wa Simba ukatupa majibu ya ni hatua gani walichukua kwa Mzungu ili iwe fundisho kwa wachezaji wengine?

Au tuendelee kuamini kuwa pale Simba viongozi wenye weledi hakuna na wamejaa wapiga dili tu?
 
Nani anaweza kupambana na mzungu pale Simba?? Kama mwenyekiti wao tu ni darasa la VII icho kizungu cha kuongea na Dejan mzungu atakitolea wapi??
 
Ameleta kocha mpya eti kisa tu huyo kocha aliwahi kuifunga yanga
 
Wakuu kwema?
Uongozi wa timu ya Simba S.C kupitia mtendaji mkuu ndugu Barbara ulisema utamchukulia hatua kali Dejan mzungu kwa kuvunja mkataba na klabu.
Simba sio wajinga wajinga kama wengine. Dejan alitengenezewa tukio ili yeye ndio avunje mkataba na hivyo kuiepusha Simba kuingia matatani. Kwa ufupi hatua zilizochukuliwa ni hizo za kumlazimisha mchezaji avunje mkataba
 
Kupitia haya maelezo yako, basi hiyo timu yako ya simba itakuwa inaendeshwa kienyeji sana!

Yaani mnavunja mkataba na mchezaji kwa kumtengenezea matukio?
 
Yaani shabiki wa utopolo anauliza mambo ya simba
Mtateseka sana mwaka huu
 
Ukiendesha soka kistaarabu bongo utavuna mabua. Unamuamini kocha, anakusajilia magarasa halafu yeye anaacha kazi anakuachia wachezaji. Sasa njia pekee ni hiyo, piga tukio mchezaji akasirike, avunje mkataba, wewe ujidai umekasirika kumbe unachekea chooni
 
Kupitia haya maelezo yako, basi hiyo timu yako ya simba itakuwa inaendeshwa kienyeji sana!

Yaani mnavunja mkataba na mchezaji kwa kumtengenezea matukio?
Shangaa nawewe mkuu. Yaani timu ya wahunihuni tu hii
 
Yaani shabiki wa utopolo anauliza mambo ya simba
Mtateseka sana mwaka huu
Yaani mwendo wa mikuki tu sasahivi.. mkilala Mishale, mkiamka mshale paka mtuambie zile bil 20 za mchongo ziko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shangaa nawewe mkuu. Yaani timu ya wahunihuni tu hii
Sasa endelea na ustaarabu, Morrison ataomba ruhusa kila mara, ukimgusa tu anavunja mkataba. Halafu yule ambaye hana msaada havunji mkataba
 
Yaani mwendo wa mikuki tu sasahivi.. mkilala Mishale, mkiamka mshale paka mtuambie zile bil 20 za mchongo ziko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna jipya dogo kakojoe ulale mcheza uchi fc
 
Kwanza Simba hawajawahi kusema watamchukulia hatua za kisheria bali walisema watachukua hatua stahiki.
Hata kukaa kimya ni hatua stahiki vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…