mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Hakika nimeshtushwa sana kusikia kuna wachezaji wa Mabingwa wa Soka Simba wameachwa kwenye Usajili na wengine wamesajiliwa na Vilabu vya ndani na nje ya Nchi.
Ni vema Klabu ya Simba ikawa na Utaratibu wa kuwaaga wachezaji wake kwani Walitoa michango yao kwenye Klabu ikibidi ikawaandalia Mechi na kuwaaga mbele ya mashabiki na wanachama wao.
Utaratibu huu ni kuonyesha uungwana kwa hao wachezaji kwani ndio walioifikisha Simba Robo fainal na kutwaa Ubingwa wa 2019/2020.