mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mastermind hayupo waliopo ni watu wa mafao Haji rudi tafadhaliHakika nimeshtushwa sana kusikia kuna wachezaji wa Mabingwa wa Soka Simba wameachwa kwenye Usajili na wengine wamesajiliwa na Vilabu vya ndani na nje ya Nchi.Ni vema Klabu ya Simba ikawa na Utaratibu wa kuwaaga wachezaji wake kwani Walitoa michango yao kwenye Klabu ikibidi ikawaandalia Mechi na kuwaaga mbele ya mashabiki na wanachama wao.Utaratibu huu ni kuonyesha uungwana kwa hao wachezaji kwani ndio walioifikisha Simba Robo fainal na kutwaa Ubingwa wa 2019/2020.
Mkuu kwani Simba Day ipo kwa vilabu vyote Duniani? Ni utaratibu ambao Klabu ya Simba imejiwekea,kuwaaga wachezaji nao ni utaratibu wa kuwashukuru kwa michango yao na mafanikio waliyoipatia klabu.Mkuu huu utaratibu umeutolea wapi, wachezaji wanaoagwa ni mara nyingi wanaostaafu sio kuachwa ama kuhama, ronaldo kwenda madrid ilichezwa mechi gani kumuaga!? Cr7 kawapa madrid uefa 4 ilichezwa mechi gani kuaga, hazard je katoka kuwapa chelsea europa mechi ya kumuoga umeiona, vipi th 14, thierry henry kichogo, aliagwa na arsenal!!??
Hizi ni siasa na porojo, ulitaka ichezwe mechi ya kumuaga kotei na wenzake!? Liver ya comeback ndani ya Istanbul miracle msimu uliofata kama sikosei kina smicer waliachwa hakuna cja mechi ya kuaga wala nini..
Mechi za kuagana ni mtu anapostaafu.
Basi mkuu Simba ndio hawana huo utaratibu wa kuaga wachezaji wanaowaacha.Mkuu kwani Simba Day ipo kwa vilabu vyote Duniani? Ni utaratibu ambao Klabu ya Simba imejiwekea,kuwaaga wachezaji nao ni utaratibu wa kuwashukuru kwa michango yao na mafanikio waliyoipatia klabu.
Viongozi wa Simba ni Wasikivu ndio maana tunawashauri mkuu ni utaratibu wa kiungwana kwa wachezaji walioisaidia klabu kutwaa ubingwa kuwashukuru na pia kuwaaga pindi wanapoachana na klabuBasi mkuu Simba ndio hawana huo utaratibu wa kuaga wachezaji wanaowaacha.
Umeona kimya maana yake huo utaratibu haupo na hawana, utaratibu uliopo nadhani ni kama kwa wengine, aliagwa mgosi kwenye kustaafu, nasisitiza utaratibu huo haupo na hautakuwepo, aliyeachwa kaachwa, aliyeuzwa kauzwa, tunashukuru kwa mawazo na mtazamo wenu.Viongozi wa Simba ni Wasikivu ndio maana tunawashauri mkuu ni utaratibu wa kiungwana kwa wachezaji walioisaidia klabu kutwaa ubingwa kuwashukuru na pia kuwaaga pindi wanapoachana na klabu