Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hizi timu kubwa za bongo ni miradi ya watu kupigia pesa.Mfano kwenye migogoro kama hii watu ndipo hupiga hela (fukuza kocha leta kocha 10% yangu)Haya ma migogoro ndio siyapendagi kabisa
hakunaga msimu ukaisha bila kusikia migogoro kwenye timu zetu Bongo
kulikoni
Safari bado ipoTatizo hizi timu kubwa za bongo ni miradi ya watu kupigia pesa.Mfano kwenye migogoro kama hii watu ndipo hupiga hela (fukuza kocha leta kocha 10% yangu)
Tena ndefu sana.Safari bado ipo
Bado kuna tatizo la kuwaamini sana, Wazungu.Fukuzia mbali mzungu
Sio kweli.Huyo Masoud ni kirusi kwenye timu yenu 'simba'! Haiwezekani makocha 03 washindwe kufanya kazi na yeye! Fyekeleeni mbali huyo masudi Juma!
Sina hii habari,Tatizo ni msaidizi anataka nafasi ya Bosi wake, ndo anatumia wafuasi wake kuharibu mambo. Bosi naye kasema hamtaki awe msaidizi wake, keshaona hatari ya kibarua chake kisa nafasi aliyopo.
Massudi aache uzuzu, anaihujumu timu kisa tamaa zake za kutaka kuwa kocha mkuu