Box tu nilipelekwa pale nikaona km niko jela,mara kulima,mara kuchunga,kusaga mashneni,vilanja wana pawa kuliko mwl,kilanja anaweza kukupa adhabu ngum hujawah kuona,ukichelewa parade n matatzo,naish bweni la ujamaa,kwenda twn ciliv ni kosa kubwa na ujinga mwngne,nikahama
Pole sana.
Huo ni uonezi.
Nadhani ni vema kulifikisha suala hilo bodi ya shule
Kaka we ulikuia mtoto wa mama pale temu ya kwanza nilipata shida hiyo nilivorudi nikatafuta kacheo kangu ka kuzugia basi hizo kwangu kero nlikua nazisikia kwa watu, kilanja akileta za kuleta we ndo unamwazibu kabla hajakupeleka kwa nyanvi, nimesoma boys pamoja na fujo zangu sijawai onywa hata na mwalimu wa darasa, nilikua azimio5 boys peponi
kwenda twn na unifom ndo mambo yalinishnda,roll call karb kila mda,ila maisha uboyzn hayakua mabaya.
nyamvi alikua anapena anasema' mi ndo baba yenu ingawa siwajui mama zenu'. Box 2 2008_2010.nakwambia wewe ndo ulikua muoga mi mda wote nipo kiraia na mambo yanaenda sema we ulishindwa jipanga kacheo kangu kalisaidia
nyamvi alikua anapena anasema' mi ndo baba yenu ingawa siwajui mama zenu'. Box 2 2008_2010.
Nyanvi alikua mzazi wa ukweli na ukingia kwenye 18 zake akuachi
Ndugu wanaJF habarini za weekend? Bila shaka mu wazma wa afya njema! Kuna jambo limetokea kwnye shule ya wavulana mbali na kwamba mdogo wangu naye na mhanga wa tatizo hilo pia naona ni kinyume kabsa na taratibu za malezi kw wanafunzi na pia ni uonezi wa hali ya juu! Ni hv kwa maelzo ya mdog wang jumanne iliyopta walmu waliwanya upekuz wa sim,laini, betr au kitu chocht kisichoruhsw na wapo walioptkn na sim, lain, betri, chaja nk na uongz wa shule umeamua kuwasmamsha masom kutkn na kuktw na vfaa hvyo sina tatzo na alyepatkn na sm lakn lain, betr, charger nk ni uonevu wa hali ya juu labd wahusk watusaidie kwn sheria zinasemaje na kabl hatujafk huko watuonyesh joing instrunctions zao! BIG RESULTS MPOOOOO!
Pole sana.
Huo ni uonezi.
Nadhani ni vema kulifikisha suala hilo bodi ya shule
ya sweke hujayapata mkuu huyo hata ukipita kwenye 38 umeumia
Sweke ndo kafatia kwa nyanvi au co?? Daa ile shule ni nzuri sana kama chuo mwanafunzi unafanya utakalo kama vile upo chuo kikuu
sweke kafuta yote hayo siku hizi imekuwa zaidi ya seminary