Uongozi wa wa UDSM wawafutiwa mashitaka wanafunzi

Tuandamane

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2008
Posts
1,221
Reaction score
55
Leo Uongozi wa UDSM umewautiwa mashitaka wanafunzi 38 walioshitakiwa kwa tuhuma za kufanya fujo chuoni
 
Jamani watanzania tugomee kupeleka watoto wetu UDSM, hatulipi ada watoto wakawe mahabusu! kunasiku watapigwa risasi tukitizama tu!
 
Jamani watanzania tugomee kupeleka watoto wetu UDSM, hatulipi ada watoto wakawe mahabusu! kunasiku watapigwa risasi tukitizama tu!


Kinachotakiwa ni kupiga kelele mpaka hawa viongozi wazembe waachie ngazi na tupate viongozi wapya wenye kujua wajibu wao
 
Hatimaye Mukandala amechemsha na viongozi wake aliwaweka ili waongoze Daruso. Wanafunzi wamewapiga chini na sasa inabidi uchaguzi mpya ufanyike. Huyu baba ameanza vibaya na sasa anaaibika.

Nimeipata habari hii ya the citizens toka kwa mtiifu na mwenzetu Mwanakijiji wa KLHNEWS.



Kwa habari zaidi, fuatilia mambo mapya na ya haraka toka kwenye mtandao bora kabisa wa habari za Tanzania wa KLH NEWS kwa kubonyeza hapa
 
Mimi nauliza kama kuna sababu zimetolewa kw akufutiwa mashitaka .Je Chuo kitawalipa mateso yao na kuwaharibia majina ?
 
Now its clear kuwa Prof. Mukandala alimuandaa mtu wake na AMESHINDWA
 
hivi mukandala na wenzake hawana kazi za kufanya siku hizi, mpaka wakaingilie uchaguzi wa daruso? kule redet wameshamfukuza au amejifukuzisha? ni vema kuwe na utaratibu fulani wa mtu kuwa vice-choncellor, labda huu utaratibu wa kishkaji siku moja utasikia rais amempa mkewe digree ya heshima na hapo hapo akamchagua kuwa vice -choncellor, yetu machoo, ohooo
 

kwi kwi kwi kwi

Mkuu Mwikimbi,

Huku ndiko tunakoelekea kabisa hasa ukichukulia watu waliokuwa wakidhaniwa kuwa makini kama Mukandala wakigeuka na kuwa wabovu na wababaishaji kiasi hiki.
 
Uongozi wa Tanzania ni family business.
Naamini ukiwa rafiki na mheshimiwa fulani basi unaweza kupata ulaji usio halali kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…