Uongozi wa yanga sajilini wachezaji wasiotaka mishahara

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Kutokana na hali ngumu ya fedha ktk Klabu ya Yanga, nashauri uongozi Usajili wachezaji wenye mapenzi na Yanga na sio mishahara. Wachezaji hao wapo na suala la uongozi kutangaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila mishahara wataishije.... Kwan wachezaji wanapenda kucheza timu kubwa kwa sababu gan...?
 
Sasa bila mishahara wataishije.... Kwan wachezaji wanapenda kucheza timu kubwa kwa sababu gan...?
Ni kweli usemayo lakini kwa kuwa Yanga haina pesa na kuitwa timu kubwa sio sahihi timu kubwa ni pamoja na uwezo kipesa.Pia Yanga inaendeshwa kizamani enzi za kina Mangara Tabu wachezaji walikuwa hawalipwi mishahara ni mapenzi tu hivyo iendelee kutafuta wachezaji wenye mapenzi na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila mishahara wataishije.... Kwan wachezaji wanapenda kucheza timu kubwa kwa sababu gan...?
Ni kweli usemayo lakini kwa kuwa Yanga haina pesa na kuitwa timu kubwa sio sahihi timu kubwa ni pamoja na uwezo kipesa.Pia Yanga inaendeshwa kizamani kama enzi za Mwenyekiti Marehemu Mangara Tabu wachezaji walikuwa hawalipwi mishahara walikuwa wanacheza Yanga kwa mapenzi tu hivyo iendelee kutafuta wachezaji wenye mapenzi na Yanga wao kwao ni sifa kuichezea Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba karibu miaka 5 mlikuwa masikini wa kutupwa! Hivi mmlikuwa hamsajili? Yanga haijafikia ile dhiki mliyokuwa nayo kipindi kile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba haijawahi kutembea bakuli ,Yanga bakuli nimefika Tandale,kigogo wananchi wenyewe mnaowachangisha mafuriko yanawasumbua bora Serikali imewazuia kujenga pale Kaunda Swimming Poll pandikizeni Sangala mfanye biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 

coments za aina hii huitwa za mipasho..eti Yanga inaongozwa kizamani??!!! Na Simba inaongozwa kileo!!! Ni ajabu kweli kweli...kuna tofauti gani kati ya Simba na Yanga??? imagine MO anaondoka leo Simba!!! Nimemsikia mtu mwingine anayeitwa Dauda anabwabwaja hili na lile kuhusu Yanga...anajiita mchambuzi wa soka...blablahblah nyingi pasipo pointi za maana...anasema Yanga hivi sasa inasajili kwa ajili ya mechi ya January 4..sijui huyo self proclaimed .mchambuzi...ameambiwa na nani!!! hovyo kabisa ..soka ya Tanzania ina matatizo mengi mno...People talk too much...hovyo kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…