Uongozi wa Yanga ukikejeli, Wanaume tunapambana kuingiza timu nne


Morocco kwa msimu uliopita walikuwa na point 183 lakini wameingiza timu nne tu. Hata uwe na point nyingi kiasi gani timu mbili klabu bingwa na mbili shirikisho ndio idadi hiyo

Na pia msimu uliopita tumeona kajamba nani ambaye hakuwahi hata kuwa na point hata moja lakini akaja kujizolea point 25 kwa mara moja. Hapa nazungumzia timu ya Kaizer Chief ambao kwa kutinga kwao fainali wakazoa point 25
 
Ungeanza kwa kueleza vizuri Simba walikuwa club wakatolewa, tena wakiwa nyumbani ndio wakaangukia huku viti maalum.
na wewe ungaaza kuwa Utopolo walikua club bingwa wakapigwa nje ndani wakashindwa hata kuangukia huku
 
Nafasi yenu moja tu hamjajihakikishia
 
Ni kweli faida ipo kwa nchi.ila yanga ananufaikaje na hilo wakati huo atakuwa bingwa na hata wakisema nafasi ni moja bado ataenda mwenyewe!Simba wajibebe wenyewe kwa kuhakikisha nafasi nne zinabaki.ili wasilazimike kugombania kombe ili kwenda kimataifa wadili na nafasi ya pili yani
 
makolo fc kwa kuhonga marefa na ma-linesman hajambo, sasa mnaenda kuhonga kimataifa,
 
Nyie Makolo mpambane kwa manufaa yenu.. nyie hata mngetoka leo hii huko CAF, Yanga kucheza CAF ni lazima,, kwani kombe mwaka huu anachukuwa nani...?
Makolos mna mambo yakisenge sana ndo maana Sisi Yanga hatutokuja kuwasapot hata ukicheza na Urusi ni Bora muuwawe kuliko kuwasapoti wasenge kama nyie
 
Ushindi wenyewe ni wamichongo mpaka mnalalamikiwa CAF na hao marefu wenu mliowahongA...
Shame to Makolos FC
 
Njia iko wazi ya kupeleka malalamiko ikulu kwa mama au CAS. Vinginevyo ni upotezaji wa muda tu.
 
Zibaki nafasi mbili tu kila mtu aende kwa nguvu zake
Hizo nafasi mbili Simba inakwenda kama Bingwa wa ligi hili halina ubishi,tutawabebeni tena mkatolewe kwa hatua ya Kindergaten nyie Utopolo kwakuwa bado mna ushamba mwingi na mashindano makubwa ya CAF.
 
Yani kahaba iliyokunya hii hanithi ilishindwa kutumia hata condom?

ona sasa hii laana aliyotuletea duniani.
 
We nii mjinga sana kuna points za shirikisho na teams
 
We nii mjinga sana kuna points za shirikisho na teams
Sijui hoja yako ni ipi maana umekurupuka tu kama mwehu. Morroco point 183 maanake hiyo ni point za shirikisho la soka nchini Morroco ambayo imetokana na timu za Morroco kufanya vyema katika michuano ya kimataifa ndani ya misimu mitano

Kaizer chief kuwa na point 25 ni za kwake peke yake ambayo imevuna kwa kucheza fainali ya klabu bingwa msimu uliopita. Ila upande wa shirikisho la soka la Africa kusini wana jumla ya point 93.5

Siku nyingine uache kukurupuka
 
Yani kahaba iliyokunya hii hanithi ilishindwa kutumia hata condom?

ona sasa hii laana aliyotuletea duniani.
Wewe ni Kolos, Makolo wote hawana akili ndo maana hata Rais wetu na makamu wake hawashabikii Timu ya wapimbuvu wasiokuwa na utu kama Makolo
 
Unaweza kueleza hizo points 25 zimemsaidia nini kaizer chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…