Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.
Nini maoni yako?
Nini maoni yako?