Hapa kocha anaonewa tu km ni kweli hayoWanamuangushia zigo kocha Nabi.Nabi afanye maajabu yepi na timu ilipelekwa Moroco kwa mihemko.
Viongozi wa Yanga wajibu kwanini wameshidwa kushughulikia ITC za Djuma,Mayelle na Aucho mapema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maoni yangu ni kwamba yanga wameamua kumtafutia sababu ya kumfukuza tu kocha
Umemsahau Deejay Luc Emely aliitengeneza timu kiasi chake sema akawaita jina lile wakamtimua. Ndio mwanzo huo wanaanza kuvurugana. Tatizo kinacho wapa pressure ni ubora wa simba wasijue simba imesukwa kwa muda na inanunua wachezaji kweli sio wakuokota na mambo ya propagandaZahera alikaa msimu mmoja kidogo timu ikaanza kubadilika ,wakamtimua wakasajili kikosi mpya ,ikachukua mda wachezaji wapya kuzoea mfumo,mara gafla akaletwa Kaze naye akaja na kikosi chake na mfumo mpya,Mara wakamtimua wakamrudisha Mwambusi ,Mwambusi ameanza kuzoeleka mara pap Nadi kaingia,Sasa Nadi wanamtimua.
Kwa mtindo huu Yanga wasahau kuwa na timu bora
Typical Vyura SC & Mbumbumbu SC.Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.
Nini maoni yako?