uono hafifu katika umri mdogo nini chanzo chake?

uono hafifu katika umri mdogo nini chanzo chake?

lukme

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
191
Reaction score
24
naomba kujua sababu kuu ya uono hafifu ktk umri mdogo na kama naweza pata ufumbuzi. Yaani niko below 30 navaa mawani -2.5. Je naweza rekebisha hili tatizo?
Ahsanten kwa msaada jamani
 
Back
Top Bottom