L lukme Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 191 Reaction score 24 Nov 2, 2012 #1 naomba kujua sababu kuu ya uono hafifu ktk umri mdogo na kama naweza pata ufumbuzi. Yaani niko below 30 navaa mawani -2.5. Je naweza rekebisha hili tatizo? Ahsanten kwa msaada jamani
naomba kujua sababu kuu ya uono hafifu ktk umri mdogo na kama naweza pata ufumbuzi. Yaani niko below 30 navaa mawani -2.5. Je naweza rekebisha hili tatizo? Ahsanten kwa msaada jamani