mr_yoo
Member
- Oct 14, 2016
- 36
- 23
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, Tatizo langu ni kwamba uono wa macho yangu unazidi kupungua siku hadi siku na wakati mwingine kukiwa na jua ndo siwezi kabisa kutambua kwa ufasaha kitu kilichopo umbali wa mita 20. naombeni msaada wenu wana jukwaa iwe ni ushauri au tiba mbadala unakaribishwa.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app