Uono hafifu.

mr_yoo

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
36
Reaction score
23
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, Tatizo langu ni kwamba uono wa macho yangu unazidi kupungua siku hadi siku na wakati mwingine kukiwa na jua ndo siwezi kabisa kutambua kwa ufasaha kitu kilichopo umbali wa mita 20. naombeni msaada wenu wana jukwaa iwe ni ushauri au tiba mbadala unakaribishwa.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu, fanya iv... Tafuta mboga ya majani aina ya chinese au spinach wengine wanaitaga, chukua ile uioshe vema kwa maji ya barid ya bomba...

Then ikatekate uichemshe kdg tu, yaaan ata ictokote, ikishapata moto tu ipua weka kwenye bakul mboga pa1 n maji yake yale then subr ipoe iwe kam ya vugu vugu iv then uile n kunywa n yale maji yake...

Fanya ivo kwa mda wa wk1 tu kutwa mara 3.. Kisha utakuja utupe majibu kam umefanikiwa kupona au lah...

Na ni vzur ukaenda kuwaona madaktar wa macho pia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…