mnaweweseka bado? uwkeli timu ilishindwa kabisa kucheza mpira jana, ni Said Juma pekee alicheza kwa kutulia wengine hawakucheza kiushindani kabisa.........halafu kadi ya Niyonzima ilikuwa ya kipumbavu sana na kuigharimu timu, hata Mrwanda alikua anatafuta Red makusudi kabisa......................Cannavaro naye alikua ni wa Red na hata Yondani ni kama alikua analazimisha kadi jana, sielewi mcheche wa wachezaji Yanga unatokana na nini.................