NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Mchungaji Dickson Kabigumila, amekemea kipindi cha Mr Right kinachorushwa na channel iliyoko kwenye king'amuzi cha startimes. Amesema katika kipindi hiko wanawaka kwa wanaume hutafuta wapenzi ambao amesema njia hiyo inaua maana ya ndoa kwa kuwa ni uchafu.
Mchungaji amesema kama TCRA wanahusika na kuzuia maudhui yasiyofaa wanapaswa kuzuia maudhui hayo ambayo yanaharibu vijana nchini.
Amesema kama uchafu kama huo hautazuiwa kipindi hiki utazuiwa mwaka 2025. Amesema Uovu huendelea kama wenye haki wakikaa kimya.