NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
PoleNimesoma naye Dip, aka disko, mie nikatoka na 4.0
Fala anasukuma Range, mie namba 11 mgongoni
Kwani ulikuwa hujui kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha?nimesoma naye Dip, aka disko, mie nikatoka na 4.0
fala anasukuma Range, mie namba 11 mgongoni
Huyu pastor anaonekana ni mkimbizi.
Hahahahaha kwanini mkuu!!Huyu pastor anaonekana ni mkimbizi.