Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali.
Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa.
tuanze na
1. Uchaguzi Randomly wa wanafunzi wa kujiunga na masomo ya astashahada hii imepelekea wanafunzi kuwa wengi chuoni hapo Hadi kuzidi idadi ya waliotakiwa kuwa pale hii pia imepelekea Kulazimisha Wanafunzi Kusoma Kozi Wasizozitaka
Mimi ni muhanga wa hili nilichaguliwa kozi X nafika pale nasoma kitu tofauti kwasababu niliacha kukonfirm vyuo vingine nikachagua CBE matokeo yake admission yangu inakuwa pale kufika ndani ya muda naambiwa kozi imejaa wakati huo wamekubali kunipa control number nikafanye malipo kukamilisha malipo unapewa option mbili uandike barua ya kurefund pesa yako ambapo itakatwa asilimia 20 au uandike barua ya kutransfer kozi so pain unajikuta unadumbukia kwenye kitu ambacho hukuwah hata kuwaza lakini pia Wanafunzi wengi wamelazimishwa kusoma kozi ambazo hawakuzichagua, hali inayosababisha kutoridhika na kushuka kwa morali ya kusoma. Hii inakiuka haki za wanafunzi za kuchagua kozi wanazozipenda na zinazolingana na malengo yao ya kitaaluma.
Pili . Kiasi Kikubwa cha Usajili
Kiasi cha usajili katika CBE kampasi ya Dar es Salaam kimekuwa kikubwa zaidi ikilinganishwa na vyuo vingine nchini Tanzania. Hali hii imeleta mzigo mkubwa kwa wanafunzi wengi, hasa wale wanaotegemea misaada ya kifedha kutoka kwa mashirika kama Tumaini Orphans Organization. Swali linabaki, kwanini chuo kimeweka ada ya usajili kubwa kiasi hiki? Je, gharama hizi zinaendana na ubora wa elimu inayotolewa?
Mwisho . Ufuatiliaji wa Sheria za TCU
Sheria za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) zinataka vyuo vikuu kufuata taratibu na kanuni maalum katika kudahili na kufundisha wanafunzi. Hata hivyo, kuna wasiwasi kama CBE inafuata sheria hizi kikamilifu. Malalamiko ya wanafunzi kulazimishwa kusoma kozi wasizozitaka na ada kubwa yanaashiria uwezekano wa ukiukwaji wa sheria hizi.
Kwa kuongezea .CBE WANA Huduma Mbaya kwa Wateja
Suala la huduma kwa wateja pia limekuwa tatizo kubwa. Wanafunzi wamelalamikia huduma mbaya wanazopata kutoka kwa wafanyakazi wa chuo, ikiwemo kucheleweshwa kwa majibu ya maswali yao na kutopatiwa msaada wa kutosha wanapokutana na changamoto mbalimbali. Huduma bora kwa wateja ni muhimu katika kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora ya kujifunza na kujiendeleza kitaaluma.
NAMALIZIA KWA KUSEMA
Ni muhimu kwa CBE kuchukua hatua za haraka kurekebisha makosa haya ili kuboresha uzoefu wa wanafunzi na kuhakikisha wanapata elimu bora inayostahili. Ushirikishwaji wa wanafunzi katika maamuzi ya kitaaluma, kupunguza ada za usajili, kufuata sheria za TCU, na kuboresha huduma kwa wateja ni mambo ya msingi yanayohitaji kupewa kipaumbele. Hii itasaidia sio tu kuboresha sifa ya chuo, bali pia kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora na yenye manufaa kwa maisha yao ya baadaye.