KAMA wapinzani kweli wanataka mageuzi wakubali majimbo haya yasiende mikononi kwa CCM Jimbo la Ubungo CUF wajitoe wamuachie Mnyika ( Chadema ) , Kawe Halima Mdee (Chadema ) ajitowe amuachie Mbatia (NCCR)achukue jimbo, Tarime Chadema wajitoe CUF wachukue jimbo Kigoma CUF wajitoe Wamuachie Zitto wa Chadema , Moshi vijini Chadema Wajitoe wamuachie Mzee wa Kiraracha na yeye akamalize mda wake Jimboni. in order to make changes we need more members of parliaments huku ndio mageuzi yanakofanyika kwenye majukwaa ni kuuza sera tu. KAtiba yetu inahitaji wapinzani wengi bungeni. majimbo haya yanahitaji kuangaliwa yasianguke mikononi mwa CCM
utafiti wa Mwandishi alietembelea majimbo haya na bado mwandishi huyu anaamini CUF itakua ndio chama cha Pili katika Bunge lijalo kama utabiri wa Mwandishi wa Kwanza jamii alivyotabiri CUF kitakua chama cha pili kuwa na nguvu bungeni.
Jimbo la Ubungo Chadema wana 39% CUF 19% CCM 41%
Jimbo la Kawe NCCR wana 32.8 % Chadema wana 27% na CCM wana 35.9%
Kigoma Zitto Kabwe 46% CCM 41% CUF 11%
Tarime CUF 32% Chadema 29 % na CCM 38.4% more polls to follow very soon.
Jimbo la Tarime ni la wapinzani ila CCM wanaweza kulichukua kama CUF na Chadema hawajaamua ku trade jimbo hili kwa Jimbo la Ubungo CUF wajitoe Ubungo kuunga Mkono Chadema na Chadema wajitoe Tarime kuiunga Mkono CUF kuokoa viti hivi viwili.
Naendelea na utabiri wa mwandishi wangu aliezunguka mikoani ikiwemo Zanzibar.
hawa nitakao wataja chini huenda wakawa wabunge wetu wa upinzani katika bunge lijalo.
KWA WALE WATAKAO PEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA Wafuasi wanahitaji kuchangia pesa kuhakikisha wanazidisha kampeni kwenye majimbo haya yafuatayo wazee wanamageuzi wa Texas dola bado zinahitajika na vijana wa Kansas dola musiziharibu kwa Jimbo la Kinondoni CCM itashinda michango yenu ipelekeni kwenye majimbo haya hapa kuongeza nguvu.
1. MOSHI MJINI . Philimon Ndesamburo
2. HAI . FREEMAN Mbowe.
3. KIGOMA KASKAZINI Zitto Kabwe.
4 TARIME .Mwita Mwaikabe ?
5 BUKOBA MJINI , W .lwakatare
6. KWIMBA Letcia Nyerere
7. MUSOMA MJINI Vincent Nyerere
8 MBEYA MJINI J Mbilinyi
9. ARUSHA MJINI G .Lema
10 .IRINGA MJINI . Peter Msigwa
11. BUKOMBE .Proffesor K . KAHIGI
12 MUHAMBWE . A Mtagazwa
13. MASWA MAGHARIBI . John . Shibuda
14 KISESA Erasto Tumbo
13 CHONGA (PEMBA) Salim Seif Nassor huyu ni msomi alieikacha CUF baada ya kurudi masomoni UK kumalizia master yake na kuamua kugeuza mambo kama Ubungo na Kawe.
14. MVOMERO . Owden Matokeo ( hapa kunahitajika juhudi zaidi kuuchukua ushindi wanachadema)
15 .NZEGA John Masanja ( Mgawanyiko wa CCM hapa umeinufaisha Chadema ila Slaa anahitaji kupiga nyundo ya mwisho hapa na Zitto Kabwe kuhakikisha Chadema wanachukua kiti hichi.
16.MPANDA KATI . said Arfi.
17 UBUNGO ? J Mnyika hapa kunahitajika sulhu ya vyama na etra fundraising na kampeni ya nyumba kwa nyumba.
18 SINGIDA MASHARIKI . T. Lissu huyu ni kiongozi shupavu na wakili mpenda mageuzi ila yuko bado anahitaji Zittio na Na slaa kupiga push..
19.LYATONGA MREMA ( TLP)
20. David Kafulila NCCR Mageuzi ,KIGOMA south is likely this time kuongeza Mbunge wa Ziada wa Upinzani[ .pia kuna uwezekano wa Wabunge Wa chadema kufika 30 ikiwa hal iya hewa haitabadilika ila mpaka sasa is too close kuweka mjina yao kwenye list hii. Kwani Muandishi anasema hali inaweza kubadilika na bado nguvu za chadema haziko kwenye utabiri wa uhakika kama CUF majimbo yao yako wazi wka upande wa Visiwani.
Kwa wale watakaopeperusha Bendera ya chama cha CUF ni hawa wafutao wanamageuzi wa CUF kule London, na Dubai na scandnavia yakena North America . michango iendelezeni kuhakikisha CUF inakua na majority visiwani Zanzibarna kuongeza viti bara.
1 .Twaha Taslima Bukoba Vijijini , huyu ni wakili mashuhuri jijini DAR
2 .Ramadhan Ali Mbarouk (Bumbwini)
3 Rashid Khamis Rashid (Tumbatu)
4.Mussa Haji Kombo (Chakechake),
5 .Ahmed Juma Ngwali (Ziwani),
6. Hamad Rashid Mohammed (Wawi),
7 Haji Khatib Kai (Micheweni).
8. Rashid Ali Abdalla (Tumbe),
9. Khatib Said Haji (Konde),
10. Kombo Khamisi Kombo (Mgogoni),
11.Mbaruk Salum Ali (Wete),
12. Khalifa Suleiman Khalifa (Gando),
13 Said Suleiman Said (Mtambwe),
14.Rajab Mbarouk Mohamed (Ole),
15. Rashid Ali Omar (Kojani),
16.Salim Hemed Khamis (Chambani),
17.Mohamed Habib Mnyaa (Mkanyageni),? hapa kuna upinzani mwaka huu ndio nyumbani kwa DR Shein hataki kuumbuka nyumbani kwakeMakamo wa Rais ?
18. Masoud Abdalla Salim (Mtambile),
19. Abdalla Haji Ali (Kiwani) na
20 Ali Khamisi Seif(Mkoani).
21 Faki Haji Makame (Mtoni)
22 Rashid Mgaya ( Manyara)
23. Hassan Misanya ( kondoa Kusini)
24.Rashid Soud Khamis (Bububu)
25.Yussuf Haji Khamis (Nungwi),
26.Rashid Khamis Rashid (Tumbatu),
27. (Tarime) Charles Mwera ?