UP HELD, msamiati mgumu

bulunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
303
Reaction score
49
Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea sinto fahamu juu ya nini kimetokea juu ya uamuzi wa mahakama ya upeo ya Kenya wengi wakifikiri maamuzi yamekuwa nafuu kwa NASSA, kumbe ilikuwa kinyume,

Wa Tanzania tuna safari Ndefu!
 
Mimi mmoja wao ikabidi niende kwenye shelf nipekenyue Oxford hapa ndo nikawaelewa hawa K24 walishaniacha yaani wakati Chief anatangaza. Hii lugha sio maarufu huku kwetu hatutaki shida sie japo hakitupigi chenga kiviile.
 
Hhhhhhhhh ni lugha maarufu sana ni muhim sana kusoma media za kizungu zinasaidia
 
Mleta mada pia naona msamiati huo umekua mgumu kwako maana hujatoa maana ya kikamusi badala yake umezungukatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…