Upako wa ki nigeria.........

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nasikia sana juu ya huu upako wa KI NIGERIA....

JE UKOJE???????

MAANA YAKE NINI HASA??????

UTAUJUAJE HUO UPAKO WA KINIGERIA???????

NI WACHUNGAJI GANI HASA WANA HUO UPAKO WA KINIGERIA?????????
 
.......................
 
Boss umesema umeusikia sana huo upako wa kinigeria,labda ulisikia nini juu ya huo upako
 
Reactions: dtj
hayo ni maneno ya mtaani ata kwenye khanga yapo hayo cunajua wabongo kwa kubatiza majina
 
Magumashi, wanaendaga university of magumashi naija, hapa tz mifano mingi tu..lakini utawajua kwa mbwembwe zao kutembea escot, misafara ya magari, kuvaa suti zaina fulani na wanapenda publicity hao..wana hubiri kwa live tv au wananunua vipindi vya tv.
 
huwa sio upako ila ni uchawi wa kuwafanya waumini wawe mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…