Upande upi ni nafuu

Upande upi ni nafuu

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Habari za wakati huu

Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida

Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza

Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa

Uzi tayari
 
Weka kwenye kibubu! Bank kuna service charge kila mwezi, kwenye simu siku ukitaka kutoa kuna makato!
 
Habari za wakati huu

Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida

Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza

Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa

Uzi tayari
Fungua acc. bank , jaribu kulinganisha aina mbalimbali, mfano, CRDB, NMB, ...nk.uone ipi ina unafuu,
Pia fungua acc ambayo ni fixed, au zile acc zenye tufaida japo kidogo,
Tembelea matawi ya bank..watakushauri vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayo ya kutosha mkuu tunzia kwenye vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa badae kwa bei ya juu kidogo. Mfano mifugo, mazao n.k. Mkuu naendelea kukushauri kuwa usitunze pesa jaribu kuwekeza

Nasema hayo kwa sababu mimi huwa n mtalaam sana wa saving hasa kwa Bank ya NMB nimekuwa nikiweka sana pesa yangu ila sione kama kuna faida labda kama utakuwa na pesa ya kutosha ambayo unaona kwa wakati huo haina matumizi akaweka ktk fixed deposit ili badae uifanyie kaz hapo utapata faida mkuu.

Au huwa naweka saving kama nahitaji kiasi fulan cha pesa ili badae nifanyie kitu fulan. Kwahyo angalia vzr mkuu. Kwa ushauri zaid nichek pm
 
Habari za wakati huu

Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida

Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza

Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa

Uzi tayari
Mitandaoni kuna limitations mpaka upate kibali maalum.. Bank unaweka tu mzigo ulionao
Kiusalama kote si salama sana japo bank kunaweza kuwa na nafuu
Kwenye wepesi mitandao iko vizuri
Kwenye privacy mitandao pia bado iko vizuri
Kwenye gharama bado wanashindana

Jr[emoji769]
 
Kama unayo ya kutosha mkuu tunzia kwenye vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa badae kwa bei ya juu kidogo. Mfano mifugo, mazao n.k. Mkuu naendelea kukushauri kuwa usitunze pesa jaribu kuwekeza

Nasema hayo kwa sababu mimi huwa n mtalaam sana wa saving hasa kwa Bank ya NMB nimekuwa nikiweka sana pesa yangu ila sione kama kuna faida labda kama utakuwa na pesa ya kutosha ambayo unaona kwa wakati huo haina matumizi akaweka ktk fixed deposit ili badae uifanyie kaz hapo utapata faida mkuu.

Au huwa naweka saving kama nahitaji kiasi fulan cha pesa ili badae nifanyie kitu fulan. Kwahyo angalia vzr mkuu. Kwa ushauri zaid nichek pm
Nimekupata
 
Mitandaoni kuna limitations mpaka upate kibali maalum.. Bank unaweka tu mzigo ulionao
Kiusalama kote si salama sana japo bank kunaweza kuwa na nafuu
Kwenye wepesi mitandao iko vizuri
Kwenye privacy mitandao pia bado iko vizuri
Kwenye gharama bado wanashindana

Jr[emoji769]
Sawa mkuu
 
Unataka kusevu ili ufanye nini? tuanzie hapo ili nikupe mbinu rahisi
 
Ili ikifika amount fulani nami nianzishe mradi wangu
Mradi gani? nauliza hivi nina maana yangu maana kuweka physical cash ni ngumu sana nilitaka kujua labda unataka kufanya biashara Fulani au ujenzi ili nikuelekeze njia ya kufanya kutokana na kusudio uliloliweka
 
Back
Top Bottom