Weka kwenye kibubu! Bank kuna service charge kila
Nilikua natumia hyo ,ila kwa sasa nataka niachane nayoWeka kwenye kibubu! Bank kuna service charge kila mwezi, kwenye simu siku ukitaka kutoa kuna makato!
Daah ,alafu hapa kama kuna ukweli hiviMpesa/tigopesa haifai kutunzia hela maana utazinunulia bundle, bora bank
Fungua acc. bank , jaribu kulinganisha aina mbalimbali, mfano, CRDB, NMB, ...nk.uone ipi ina unafuu,Habari za wakati huu
Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza
Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa
Uzi tayari
Mitandaoni kuna limitations mpaka upate kibali maalum.. Bank unaweka tu mzigo ulionaoHabari za wakati huu
Kutokana mimi ni mwananchi mwenye kipato cha kawaida
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili,kwa sasa nataka nianze kuweka saving ,Sasa wakuu naombeni kuuliza
Hivi unafuu upo wapi kati ya kutunza fedha Benki au Kwenye Mitandao ya Simu kama Mpesa/Tigopesa
Uzi tayari
Na ya kutolea?Weka sehemu ambayo utatuma na ya KUTOLEA
NimekupataKama unayo ya kutosha mkuu tunzia kwenye vitu ambavyo unaweza kuviuza kwa badae kwa bei ya juu kidogo. Mfano mifugo, mazao n.k. Mkuu naendelea kukushauri kuwa usitunze pesa jaribu kuwekeza
Nasema hayo kwa sababu mimi huwa n mtalaam sana wa saving hasa kwa Bank ya NMB nimekuwa nikiweka sana pesa yangu ila sione kama kuna faida labda kama utakuwa na pesa ya kutosha ambayo unaona kwa wakati huo haina matumizi akaweka ktk fixed deposit ili badae uifanyie kaz hapo utapata faida mkuu.
Au huwa naweka saving kama nahitaji kiasi fulan cha pesa ili badae nifanyie kitu fulan. Kwahyo angalia vzr mkuu. Kwa ushauri zaid nichek pm
Sawa mkuuMitandaoni kuna limitations mpaka upate kibali maalum.. Bank unaweka tu mzigo ulionao
Kiusalama kote si salama sana japo bank kunaweza kuwa na nafuu
Kwenye wepesi mitandao iko vizuri
Kwenye privacy mitandao pia bado iko vizuri
Kwenye gharama bado wanashindana
Jr[emoji769]
Ili ikifika amount fulani nami nianzishe mradi wanguUnataka kusevu ili ufanye nini? tuanzie hapo ili nikupe mbinu rahisi
Mradi gani? nauliza hivi nina maana yangu maana kuweka physical cash ni ngumu sana nilitaka kujua labda unataka kufanya biashara Fulani au ujenzi ili nikuelekeze njia ya kufanya kutokana na kusudio uliloliwekaIli ikifika amount fulani nami nianzishe mradi wangu