Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme.
Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu vingine
Moja ya matumizi ya Meter ni kuangalia tarehe na saa/Mda
Nisiwachoshe ni kama ifuatavyo
Jinsi ya kuangalia tarehe
•Bonyeza Namba "0" kisha namba "7" kwenye meter yako maliza kwa kubonyeza alama ya kuingia (Enter Button) ya langi ya Blue
Hapo tarehe zitatokea
Kielelezo picha:
Jinsi ya kuangalia Saa
•Bonyeza namba "0" kisha namba "8" maliza kwa kubonyeza alama ya blue
Saa itaonekana
Kielelezo picha:
Hayo ni baadhi ya matumizi ya Meter box
Cc TANESCO