Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

Tuletee upande wa pili wa kila msanii anayefanya vizuri. Otherwise unamuonea
 
Kama video ya PAWA imekuwa trending number one na haitoki hivi je akitoa Aviola itakuaje ?

Huyu mtoto Ana kipaji Sana na ndo msanini namba moja anayejua kufanya mziki wenye ladha ya Kitanzania
 
Mimi ninachojua ni kuwa hajui Ngarenaro ipo wapi kijiografia. Yeye anafikiri kuna gate la Mlima Kilimanjaro kupitia Ngarenaro.

Hayo mengine ni sehehmu ya utafutaji wa mwanadamu kama unavyofanya hapa ndugu mleta uzi.
 
Jaji mtu kwa kazi kwasababu Kazi ndiyo inamtambulisha mtu siyo tabia - hivi ukisikia Mo dewj unapata picha gani? au Ukisikia Mark Zuckerburg unapata picha ipi?

Tabia huwa zinabadilika ila unachokifanya hua kinaishi - unajuaje kama kwa sasa hivi kabadilisha hiyo tabia?

Huoni kama utakuwa unajaji past yake? Wewe past yako ulikua sahihi? Acha unafiki!
 
Hili ndo tatizo la kukakaa katika lebel za kimasikini Kama wcb na king music

Dogo ametoka ametoa EP imekuwa Kali Sana amezifunika nyimbo zote za kijinga za diamond ,alikiba na harmonize sijui marioo

Akiendelea hivi Mbosso watamuua au kumroga
 

1. Huyo Mboso ni nani,
2. Kwa nini aliamua kukuacha (maana inaonekana wewe utakuwa ulikuwa mkewe ndo inaujua upande wake wa pili)
3. Je unaona ni sawa kuleta mahusiano yenu humu mkiachana?
4. Unadhani mwanaume mwingine akitaka kukuoa ataweza kweli kama unazungumza mambo ya ex mumeo JF?
 
Hivi kwanini mbosso kila nyimbo lazima ataje vyakula?! Mara kalimati, sambusa, chapati za kumimina n.k?
Kwa sisi old school tulikuwa nae wa kariba hii inspector halun babuuu akianza kukutajia tajia mavyakula hapo lazima njaa ikupate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuambizane ukweli wakuu huyo mbosso ndo nani huko Daslam?
 
Kama mwanaume wewe una muda wa kuwapekenyua wanaume wenzako πŸ™ŒπŸ™Œ

Jopo langu njooni TUMNUNULIE MADELA
MENEMENE TEKERI NA PERESI
min -me
Intelligent businessman
Monetary doctor
secretarybird
Bolotoba
makutupora
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Castle_Lite
Dennis Robert Shughuru , MH. Raisi mtukufu mtarajiwa TOA NENO KWA VIJANA WA SAMPULI HII KWA MUSTAKABALI WA KITAIFA.
ephen_
Harmful
dosho12
mzabzab
Half american
mshamba_hachekwi
DR SANTOS
 
Mwenyw anaitwa sinza pazurii, hehehe eeiyaa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…